Wednesday 21 January 2015

LIVERPOOL YACHOMOA KIPIGO KUTOKA KWA CHELSEA

BAO la Raheem Sterling dakika ya 59 limeipa Liverpool sare ya 1-1 nyumbani na Liverpool katika mchezo wa kwanza wa Nusu Fainali ya Kombe la Ligi England, maarufu kama Capital One Cup.

Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Anfield, Eden Hazard alitangulia kuifungia Chelsea kwa penalty dakika ya 18, baada ya yeye mwenyewe kuchezewa rafu na Emre Can

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako