Thursday 3 April 2014

DIAMOND NA SID WA NIGERIA WAFANYA COLLABO


Diamond Platnumz safari yake ya Nigeria inawezekana ikawa na mafanikio ya kufanya kolabo nyingi za kimataifa na Wasaanii Wa-Nigeria kwani jana usiku wa kuamkia leo alikua akirekodi studio na Dr.Sid.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Dr.Sid wa Nigeria alipost  picha  akiwa studio na Diamond na kuandika ‘Studio session with Diamond#Africa Prince#NaijaTanzania 

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako