![]() |
FRED, NEYMAR NA PAULINHO WAKISHANGILIA MOJA YA GOLI LA FRED |
![]() |
FRED MSHAMBULIAJI WA BRAZIL AKISHANGILIA GOLI LA KWANZA ALILOIFUNGIA TIMU YAKE KWENYE DAKIKA YA 2 YA MCHEZO WA FAINALI |
![]() |
10 NEYMAR JR NA FRED WA BRAZIL |
![]() |
NEYMAR JR AKISHANGILIA GOLI LA PILI ALILOIFUNGIA TIMU YAKE KWENYE MCHEZO WA FAINALI DHIDI YA SPAIN |
![]() | |
HAPA LEO HAMPATI KITU; DAVID LUIZ ALIFANIKIWA KUUTOA MPIRA ULIOPIGWA NA MCHEZAJI WA SPAIN PEDRO LANGONI KWA TIMU YA BRAZIL NA KUYAFANYA MATOKEO YAWE 3-0 |
![]() |
GERALD PIQUE NAE ALIKULA KADI NYEKUNGU MARA BAADA YA KUMKWATUA MCHEZAJI NEYMAR AKIELEKEA LANGONI MWA SPAIN KUONGEZA IDADI YA MAGOLI |
Brazil ilijipatia magoli yake kutoka kwa Mshambuliaji machachari FRED JEZI NO 9 dakika ya pili ya mchezo, NEYMAR JR akitupia goli la pili kabla ya muda wa mapumziko dakika ya 44 na Msumari wa mwisho kwa Spain uliwekwa tena na FRED dakika ya 47 na kufanya matokeo kuwa BRAZIL 3 - 0 SPAIN
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako