MEMBA wa Kundi la
Scorpion Girls, Isabela Mpanda ‘Bela’ na Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
wametofautiana hadi kufikia hatua ya kutukanana na kutupiana nguo nje.
Mpango mzima ulitokea hivi karibuni Kijitonyama jijini Dar, nyumbani kwa Isabela ambapo chanzo cha ugomvi huo ni baada ya Isabela kumsifia mtandaoni X-memba wa kundi lao, Jacqueline Pentezel ‘Jack wa Chuz’ kwa kununua gari, ndipo Kabula alipokasirika na kuanza kumtukana Bela na mama yake matusi ya nguoni.

![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiCg-jSdUJS2oy-JCt4xW9DALoEyd2hvDI9kWL4SY3-b3aTK6WnyJ0B8DzgHEGyWpbsZBvE8yxCL2MnKB4xrYIioJquhqvghn6oFSiEtpmcw-V27PGPYFuci8vJGbZWwD1A-eWqqIvzbQ5e/s320/SCOPE+2.jpg)
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako