![]() |
DEREVA WA TRENI ILIYOPATA AJALI |
Dereva wa treni iliyoua watu zaidi ya 80 anadaiwa
kujisifia kwa kuendesha treni kwa kasi kupitia ukurasa wake wa Facebook kabla
ya ajali hiyo kutokea.
![]() |
SPEED MITA YA TRENI ILIYOPIGWA PICHA IKICHUKULIWA KWENYE UKURASA WA FACEBOOK WA DEREVA HUYO ALIYEPOST KUONESHA JINSI ANAVYOENDESHA KWA KASI |
Fransisco Jose Gardon anasemekana kuposti picha ya
mwendokasi wa treni unaoonesha treni hiyo ikikimbia kilomiota 125 kwa saa.
![]() |
BALAA TRENI IKIWA CHINI NA WATU NDANI INASIKITISHA SANA |
![]() |
BAADHI YA MAJERUHI WA TRENI WALIOOKOLEWA WAKIELEKEA HOSPITALI MARA BAADA YA KUPEWA HUDUMA YA KWANZA |
Ingawa ukurasa huo ulifutwa mara baada ya kutolewa
katika gazeti la kihispaniola; hata hivyo jaji wa mahakama ya Galcia amewataka
police kuchukua maelezo kwa dereva huyo ambaye yuko chini ya ulinzi katika
hospitali moja nchini humo.
![]() |
ASKARI WA UOKOAJI WAKIWA KAZINI |
![]() |
MAJERUHI AKIWA HAJIWEZI MARA BAADA YA KUOKOLEWA KUTOKA KATIKA MABEHEWA YA TRENI |
Waziri mkuu wa Uingereza ametoa taarifa yake kwa
raisi wa Spain kwa kuwapa pole ndugu wa marehemu pamoja na majeruhi.
![]() |
MAJANGA |
![]() |
ASKARI WA UOKOAJI WAKIOKOA WAHANGA WA AJALI HIYO |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako