
Mzee Gurumo afariki dunia leo saa 8:11 mchana katika
Hospital ya Muhimbili jijini Dar es Salaam.

Taarifa zilizothibitishwa na hospitali ya Taifa
Muhimbili zimesema Mzee Gurumo amefariki dunia akiwa hospitalini hapo leo April
13 2014 baada ya kuletwa jana asubuhi na kulazwa kwenye wodi namba 6 ya
Mwaisela kutokana na kuzidiwa.

Mwili wa marehemu mzee Gurumo umepelekwa kwenye chumba cha kuhifadhia maiti hospitali ya Muhimbili
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako