
Diamond Platnumz
safari yake ya Nigeria inawezekana ikawa na mafanikio ya kufanya kolabo nyingi
za kimataifa na Wasaanii Wa-Nigeria kwani jana usiku wa kuamkia leo alikua
akirekodi studio na Dr.Sid.

Kupitia ukurasa wake
wa Instagram Dr.Sid wa Nigeria alipost picha akiwa studio na
Diamond na kuandika ‘Studio session with Diamond#Africa Prince#NaijaTanzania
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako