Pages

Friday, 24 January 2014

YOUNG DEE NAYE ANUNUA NYUMBA KIMARA


Wanamuziki wa kizazi kipya wanaendelea kufanya mambo mazuri  kutokana na kipato wanachopata kwenye muziki.
Msanii David Geez maarufu kama Young D ame-share picha za nyumba aliyonunua huko Kimara Suka.
David amenunua nyumba hiyo ambayo ataifanyia ukarabati ilikufikia kiwango anachokitaka yeye na kuhamia baadae.

No comments:

Post a Comment

Ahsante kwa Maoni yako