
Mwanamuziki nguli wa nyimbo za taratibu, Mariah Carey (43) amewasili nchini Angola kwa ajili ya onyesho lililopewa jina la "Boas Festas" ambalo limedhaminiwa na kampuni ya mawasiliano Nchini humo.

Mariah kutumbuiza wananchi wa Angola kwenye Uwanja wa Coqueiro's uliopo katika mji mkuu wa Angola Luanda.
Wakati akiwasili Mariah amesindikizwa na waandaaji wa Tamasha hilo.

No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako