![]() |
Wale woote wadau wetu wa Michezo Tunawashukuru kwa kutu-support katika kipindi hc amwaka huu toka tulipoanza |
![]() |
Wale wa Habari za Saa, Habari Mpasuko Tunashukuru kwa kuwa pamoja nasi kwa kipindi hiki cha mwaka 2013 |
![]() |
Tushangilie kwa Amani na Upendo, na kwa kumshukuru mungu kutuvusha salama mwaka 2014 |
![]() |
Wapenzi wa Ma-lavidavi Huku tukifunga mwaka huu kwa namna hii tutafungua Ukurasa mpya wa 2014 kwa kuwaletea Kipindi bora cha Mapenzi ndani ya Television pendwa kuanzia mwezi wa 2 (Mwezi wa Malavidavi) |



No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako