
Msanii wa bongo fleva aliyewakilisha Tanzania kwenye mashindano ya vipaji nchini Kenya 'Project Fame' amemsema vibaya rapper anayekuja kwa kasi kwenye anga la burudani Nay wa Mitego.

Peter Msechu ameandika kwenye mtandao mmoja wa kijamii kisha Nay wa Mitego hakukaa kimya akajibu mapigo hayo.

Snura Mushi mamaa Kiuno naye alipita tu kwenye majibizano hayo, pia watu mbalimbali wametoa maoni yako.
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako