
Kampuni ya simu ya Motorola inayomilikiwa na Google sasa imezindua simu ya kisasa ya gharama ndogo ikiwa na sifa ambazo hupatikana kwenye simu za gharama kubwa.

Simu hizo aina ya Moto G zitauzwa kwa pauni 135 nchini Uingereza na dola 179 nchini Marekani.
Wachambuzi wa mambo wanaona kuwa soko la simu hizi mpya litaongezeka maradufu.

No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako