Mwanamuziki aliyetoka kwenye bendi ya TID iitwayo TOP BAND Ommy Dimpoz amechukua gari mpya aina ya Mark x hivi karibuni

Camera ya Blogger maarufu hapa jijini ilifanikiwa kukutana na usafiri huo maeneo ya mikocheni ukioshwa kwenye enero maarufu la kuoshea magari linalomilikiwa na msanii Jaffarai (Jaffarai Car Wash)
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako