![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhNOMszTQHLshIBDxvaZ-mhhP4637dilsXiuFpBdEowE7EVVU8NGxrSuBHkS2Axagl0UEOKql6nSctfO4BhtgED0gLBw262eH_pjLrRt1u6C1yfqR0Yh7iFXo1C8N5IXs-qVXwMMd6nw7c/s400/klm.jpg)
Ni kipindi kirefu sasa tokea kampuni
ya Coca Cola kuwa ni kampuni bora zaidi lakini kwa takwimu mpya zinasema kuwa
kampuni ya iPhone, Apple, ndiyo
kampuni bora zaidi duniani kwa sasa.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgdVHTAxargg0pafhNSyEN-eUjOZ5YXVLgbRS2m58EP2wKXSUNjIHMLloZ_hDSXXm48Z0vCiXUPZ1V7d7_iLfwoDECziAFImFOHwCINrEZdEXK3WYfNKNSBdxqpXwfOp2of1S36fCzBl3c/s400/wpid-photo-jan-14-2013-1115-am.jpg)
Kampuni
ya coca cola, imetupwa mpaka nafasi ya tatu wakati nafasi ya pili ikichukuliwa
na kampuni ya Google, kwa nafasi za dunia.
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako