YALIYOJIRI UZINDUZI WA FOOLISH AGE YA LULU
UZINDUZI
wa filamu ya Foolish age ya mwigizaji bora wa kike kwa 2012/13 Elizabeth
Michael umefana na kufanikiwa baada ya mashabiki na wapenzi wa filamu kufurika
katika ukumbi wa Mlimani City.
Lulu
kafanya maajabu baada ya kuimba wimbo wa msanii Lady Jay D na hata kutaka
kumfunika mwenye wimbo kama unakuwa nje ungejua ni JD anaimba.
Utaletewa
kila kitu kwa ndani baadaye ngoja tukupe uhondo wa Mlimani City kwa staili ya
kipekee kabla ya kukumwagia mengine.
Wageni waalikwa waliohudhuria kwenye uzinduzi wa Filamu hiyo ya Lulu iitwayo FOOLISH AGE
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako