![]() |
MIKIKIMIKIKI UWANJANI |
![]() |
DROGBA AKIMPELEKA BOYA GOLIKIPA WA ARSENAL NA KUPATA BAO LA KWANZA |
![]() |
LAZIMA KIELEWEKE.......MTOTO HALALI NA NGUO LEO |
![]() |
DROGBA AKISHANGILIA BAO LAKE LA KWANZA ALILOFUNGA KWA MKAWAJU WA PENATI |
![]() |
CAZORLA NA EBOUE LAZIMA KIELEWEKE |
![]() |
ARSEANAL WAKISHANGILIA BAO LA KUSAWAZISHA LILILOWEKWA KIMIANI NA WALCOT |
![]() |
MLINDA MLANGO WA ARSENAL AKICHUMPA BILA MAFANIKIO NA KUFUNGWA BAO LA PILI |
![]() |
DRGBA AKIIFUNGIA GALATASARAY PENAT YA BAO LA KWANZA |
![]() |
DROGBA AKIWA NA ZAWAD YAKE ALIYOPATA KATIKA MCHEZO HUO DHIDI YA ARSENAL |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako