![]() |
BONDIA OMARI KLIMWERI AKITANGAZWA KUWA MSHINDI KATIKA PAMBANO HILO |
BONDIA Omar Kimweri anayefanya shughuli zake
nchini Australia amemchakaza Bondia wa Thailand anayejulikana kwa jina la Ekkalak
Saenchan katika raundi ya kwanza.

BONDIA OMARI KIMWERI AKIMTUPIA KOMBORA BONDIA WA KITHAILAND

![]() |
BONDIA OMARI KIMWERI AKIMTUPIA KOMBORA BONDIA WA KITHAILAND |
![]() |
KIMWERI AKIMVIZIA MTHAILAND AMPE MAKONDE MAZITO |
PATAPICHA INAMPONGEZA KWA KUWATOA WATANZANIA KIMASOMASO NA KUWATAKA WENGINE WAONGEZE JITIHADA
source superd blog
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako