![]() |
Hapo ni nje Nyumbani kwa Kina Langa |
![]() |
Jeneza la Mchizi wetu Langa Kileo |
![]() |
Kapumzike pema mwanangu Langa |
![]() |
RAFIKI WA KWELI - R.I.P LANGA |
![]() |
Mpiganaji wa Matumizi ya madawa kutoka Kigamboni Sober House akimwongelea Langa KILEO |
![]() |
Vijana wa REGENCY wakitoa salam zao kwenye msiba |
![]() |
Last respect to Langa..M 2THE P |
![]() |
Last respect toka kwa familia |
![]() |
Babuu; "rest in peace mtu wangu" |
![]() |
Dark Master akiwa kwenye majonzi mazito sana ni week moja imepita tangu kumzika mwanachemba mwenzake Ngwea mkoani Morogoro |
![]() |
Kalla JEREMIAH, unadhani hapa alikuwa anawaza nini!?? |
![]() |
Danta mdau wa PATA PICHA akiwa kwenye picha ya pamoja na Mama mzazi wa Langa Kileo |
![]() |
Baba na Mama LANGA KILEO wakiweka shada la maua kwenye kaburi la mtoto wao Langa |
![]() |
Geta,Rich,Prof na Nikki mbishi |
![]() |
Ridhwan akiwa makaburini kumsindikiza Langa Kileo |
![]() |
Babuu wa Kitaa kushoto akiwa kwenye picha ya Pamoja na Wadogo zake Langa |
![]() |
Upendo kwa ndg wa Langa Kileo kushoto ni Prilly dada wa Bethuel Makundi |
![]() |
Yokoi Stopa the rymz maker |
![]() |
Daz Baba mara baada ya kumzika LANGA KILEO |
![]() |
Ahmed Ally mmoja wa wadau wa PATAPICHA kutoka Star TV |
![]() |
Ahmed akiwa kazini mahojiano na KALA JEREMIAH |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako