Brazil imeifunga uruguay mabao 2-1 katika mchezo uliozikutanisha timu hizo, magoli ya Brazil yalifungwa na Fred na Paulinho wakati lile la Uruguay likiwekwa kimiani na Edison Cavan.
![]() |
Mchezaji wa Brazil Fred akishangilia bao la kwanza la Timu hiyo akiwa na wenzake Hulk(19) na Dan Alves (2) |
![]() |
Mchezaji wa Brazil Neymar akifanya vitu vyake |
![]() |
Neymar akiwasumbua Uruguay, kona ya Mchezaji huyo ndio iliyozaa bao la pili |
![]() |
Mlinda mlango wa Brazil Julio cesar akiokoa penat ya uruguay iliyopigwa na Diego Forlan mara baada ya David luiz kmsukuma mchezaj wa urugua katika eneo la hatari |
![]() |
Wazee wa Samba wakiwaaga mashabiki wao mara baada ya kwisha kwa mchezo huo |
![]() |
THIAGO SILVA NA FRED WAKIMPONGEZA KIPA WAO JULIO CEASER BAADA YA KUOKOA PENALT YA FORLAN |
![]() |
FRED AKITUPIA GOLI LA KWANZA KWA BRAZIL |
No comments:
Post a Comment
Ahsante kwa Maoni yako